TABIA 10 ZA MTU MWENYE KIBURI NI;
1:Hupenda kujulikana na hapendi wengine wajulikane
2;Anapenda kusikilizwa ila yeye hapendi kusikiliza wengine. Kutoka 5:2 . pia Mithali 12:15 inasema ''
3;Hapendi kushauriwa na wengine ila yeye anapenda kushauri wengine. Mithali 29:1-2
4;Hapendi kukosolewa ila yeye anapenda kukosoa kwa kila jambo. Mithali 13:10-
.
... 5;Anapenda kutiwa moyo lakini yeye hawezi kuwatia moyo wengine.Mtu kama huyu akiugua anapenda wana kanisa wakamtembelee na kumpelekea zawadi lakini yeye hajawahi kumtembelea mgonjwa hata mmoja. hii ni roho ya kiburi
6;Anapenda kulaumu wengine ila yeye hapendi kulaumiwa
7;Hupenda kudharau wengine lakini yeye hapendi kudharauliwa. Wakolosai 3:13-14 Pia Mithali 14:21
8;Hudai heshima kwa nguvu lakini yeye hataki kuheshimu wengine.Mithali 3:34-35-
9;Hupenda kumiliki mali isiyo yake. Ndugu hata fungu la kumi ni la MUNGU hivyo kuacha kutoa zaka ni kumwibia MUNGU na hiyo ni roho ya kiburi.Malaki 3:8-9
10;Hufurahi kuwaonea wengine na kuwasimanga lakini yeye hataki kuonewa wala kusimangwa. Obadia 1:12.
MUNGU akubariki sana