Jumamosi, 30 Machi 2013
Alhamisi, 28 Machi 2013
Uwepo wa Mungu wazidi kuonekana Kambi la Pasaka CASFETA-TAYOMI
Kambi la Pasaka CASFETA-TAYOMI...Morogoro lazidi kumtukuza Mungu,Ikiwa ni siku ya kwanza,wanachama wafundishwa masomo yakumtukuza Mungu na jinsi ya kuishi maisha matakatifu Duniani,baadhi ya masomo hayo ni Kijana jitahidi kuwa Mfano katika jamii/Taifa,Ijue Tayomi na maono yake,Jinsi kijana anavyoweza kujikwamua kiuchumi.n.k
Jumanne, 26 Machi 2013
Kambi la Casfeta Tayomi Kuanza kesho
Kambi la Pasaka kwa wanafunzi wa shule za Sekondari na wanavyuo waliokoka,linatarajia kuanza kesho,kwenye mikoa mbalili Tanzania,kambi hilo,la Casfeta Tayomi,Mjini Morogoro linatarajia kuanza kesho jioni,katika shule ya Sekondari ya Kilakala,tayari viongozi wa mkoa (Casfeta Tayomi) Morogoro wameweka mazingira vizuri,baadhi ya masomo yatakayofundishwa ni utoaji,uzalendo,Uhuusiano,Roho Mtakatifu na masomo mengineyo,wachungaji mbalimbali watahudumu katika masomo hayo,akiwemo Mchungaji Lioba wa C.A.G (Calvary Assemblies Of God)
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)