Alhamisi, 28 Machi 2013

Uwepo wa Mungu wazidi kuonekana Kambi la Pasaka CASFETA-TAYOMI

Kambi la Pasaka CASFETA-TAYOMI...Morogoro lazidi kumtukuza Mungu,Ikiwa ni siku ya kwanza,wanachama wafundishwa masomo yakumtukuza Mungu na jinsi ya kuishi maisha matakatifu Duniani,baadhi ya masomo hayo ni Kijana jitahidi kuwa Mfano katika jamii/Taifa,Ijue Tayomi na maono yake,Jinsi kijana anavyoweza kujikwamua kiuchumi.n.k

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni