Jumanne, 26 Machi 2013

Kambi la Casfeta Tayomi Kuanza kesho

Kambi la Pasaka kwa wanafunzi wa shule za Sekondari na wanavyuo waliokoka,linatarajia kuanza kesho,kwenye mikoa mbalili Tanzania,kambi hilo,la Casfeta Tayomi,Mjini Morogoro linatarajia kuanza kesho jioni,katika shule ya Sekondari ya Kilakala,tayari viongozi wa mkoa (Casfeta Tayomi) Morogoro wameweka mazingira vizuri,baadhi ya masomo yatakayofundishwa ni utoaji,uzalendo,Uhuusiano,Roho Mtakatifu na masomo mengineyo,wachungaji mbalimbali watahudumu katika masomo hayo,akiwemo Mchungaji Lioba wa C.A.G (Calvary Assemblies Of God)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni