HISTORIA YA ASKOFU MOSES KULOLA
Moses Kulola, alizaliwa mwezi Juni 1928,
katika familia ya watoto kumi,
na watano kati yao bado ni hai.
alisajiliwa katika shule ya kwanza mwaka 1939
... iitwayo Ligsha Sukuma shule ya misheni baada ya Ligsha,
alijiunga na taasisi ya usanifu mwaka 1949.
Alibatizwa mwaka 1950 katika Kanisa la AIC Makongoro.
Alimwoa Elizabeth na wamezaa watoto10
ambapo saba bado hai.
alianza kazi za kimisionari mwaka1950
japokuwa aliitwa mwaka 1949
mara tu baada ya kubatizwa.
Mwaka 1959 alianza kufanya kazi serikalini,
wakati huo huo akihubiri Injili katika miji na vijiji.
Utumishi wake mkubwa kwa nchi ulifika mwisho mwaka 1962,
ambapo aliamua kujitolea moja kwa moja nguvu zake zote,
mwili na nafsi. Mwaka 1964
alijiunga na chuo cha kiteolojia na 1966
alitunukiwa stashahada.
Hakuacha elimu pale tu, aliendelea na masomo
mbalimbali ambapo alitunukiwa vyeti
mbalimbali katika mataifa mbalimbali.
Alihudumu kikazi kwa miaka miwili kama
Mchungaji kabla ya kuwa mpentekoste mnamo 1961-1962,
alifanya kazi katika kanisa la TAG 1966 mpaka 1991
ambapo aliamua kuanzishaa makanisa
Evangelistic Assemblies God (EAGT),
ambapo yalifanikiwa kukua kwa kasi
kubwa katika nchi za Tanzania, Zambia , Malawi
na kwa ujumla kuna makanisa yapatayo 4000
katika nchi mbalimbali yakiwemo makubwa na madogo
Askofu Moses Kulola anayeongoza makanisa elfu nne,
Askofu Msaidizi wake ni Mwaisabila.
Mchakato wa kuongoza makanisa elfu nne
si rahisi na kwamba kumefanyika mgawanyiko wa
majimbo yasiyopungua 34
ya kazi na kanda tano kwa ajili ya kurahisisha kazi
na kila kanda na jimbo lina mwangalizi wake......
Nampenda sana Askofu Moses Kulola
maana anafanya kazi ya MUNGU
kwa moyo na kwa mujibu wa kitabu cha historia yake
Askofu Kulola amezunguka Tanzania nzima
tena wakati mwingine kwa kutembea kwa miguu
na kwenye mazingira magumu sana kiasi kwamba
ni wito mkuu wa MUNGU mkuu alionao Askofu Kulola
na kwa miaka zaidi ya 60 amekuwa akihubiri neno la MUNGU
na hadi sasa MUNGU anamtumia sana,
ASKOFU MKUU MOSES KULOLA
AKISHIKANA MIKONO NA MCHUNGAJI DANIEL KULOLA
AMBAYE PIA NI MCHUNGAJI
PIA DANIEL NI MTOTO WA ASKOFU KULOLA

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni